A unique combination of education, trans-cultural research and worldwide network

2018 Mkutano wa Tathmini ndogo

2018 Mkutano wa Tathmini ndogo
3 – 12 Mei 2018

Huu ni mkutano wa siku 2 ambao utaandaliwa na mwenyeji Bayimba Cultural Foundation na kufanyika kwenye kituo cha utamaduni cha Ujerumani nchini Uganda (Goethe-Institut Kampala) mwezi Aprili mwaka 2018

Mkutano huu wa tathmini wa nusu muhula utatathmini maendeleo yaliyopatikana katika shughuli zilizofanyika katika mwaka wa kwanza. Jopo la wataalamu litafanya marekebisho kulingana na tathmini ili kuongeza manufaa ya mradi kwa sababu ya mahitaji au matatizo ambayo yangeweza kutokea katika mwaka wa kwanza. Mkutano huo pia utatathmini usambazaji wa matokeo na kuandaa ratiba ya usambazaji wa matokeao ya mradi ili kukuza uelewa kwa jamii juu ya mradi.